Sawa

Lyrics: Ibraah Music: Ibraah It's Bonga 是邦加 (Oh nah nah nah nah nah ah) (哦不,不,不不,不) Asante Mungu Baba uliye mwema 感谢上帝,你这个好父亲。 Nimeiona siku nyingine ya furaha 我又看到了快乐的一天 Hali sio haba sio njema 情况并不好。 Wa kuniponya nipate hata chembe ya furaha 如果你选择了呋喃 Maana wazazi wananitegemea 所以父母信任我 Na ninakaribia mi kuitwa Baba 我几乎被称为父亲 Nami ndunguzo waloegemea 我信任那些信任的人 Sina kitu nimechalala nimevava 我无话可说 Uniepushe mabaya dunia 保护我免受世界上最糟糕的事情的伤害 Yasijenikumba 我不想哭 Napiga goti kwa uchungu nalia 我很抱歉。 Ni nusuru muumba 这有助于创建 Katu nisikate tamaa Katu不会失望的 Niende kusaka tonge 九环 Nipate ama nishinde njaa 抓住我,否则我饿了 Moyoni upige konde, ni sawa eh! 莫约尼的新导管,是的! Ni sawa, ni sawa 没关系,对吧 Naamini nitafika (Ata nikikosa sawa) 我想我是对的。 Ni sawa, ni sawa 没关系,对吧 Naamini mimi utanipa (Ah ridhiki we ndo unayegawa) Naamini mimi utanipa Sawa, ni sawa 好的,好的。 Naamini nitafika (Mwanadamu hawezi panga) 我相信我会来的。 Ni sawa, ni sawa 没关系,对吧 Naamini mimi utanipa (Sitozuguka kwa waganga) 我相信你会给我的(我不会伤害帮派) Natapa tapa elimu sina 我没有受过教育 Mi kusoma sijasoma 我没读 Nami nasaka nijenge heshima 我想让自己变得光荣 Mi nakoma ju wananichoma 我读过他们说的朱 Ni wewe pekee ndo naye jua 你是唯一知道的人 Ah mbele yangu na nyuma yangu 他在我前面和后面 Mie mpweke naomba dua 我为那些孤独的人祈祷 Ah Baba fungua ridhiki zangu 啊,巴巴·丰瓜·日迪基·赞古 Nashukuru Baba, pumzi unayonipa 谢谢你,父亲,你的呼吸 Maisha naendelea 生活还在继续 Ila kingine Baba, nadhalilika 但除了爸爸,我很抱歉 Huu mzigo unanielemea 这个负担告诉我 Baba niwewe Baba (Ni wewe) 父亲我就是你(你) Niwe ndo msaada (Ni wewe) 我是帮助(你) Ni wewe, ni wewe 是你,是你 Baba ni wewe 爸爸是你 Uniepushe mabaya dunia 保护我免受世界上最糟糕的事情的伤害 Yasijenikumba 我不想哭 Napiga goti kwa uchungu nalia 我很抱歉。 Ni nusuru muumba 这有助于创建 Katu sikate tamaa 凯特没有放弃 Niende kusaka tonge 九环 Nipate ama nishinde njaa 抓住我,否则我饿了 Moyoni upige konde, ni sawa 对面的角落,对 Ni sawa, ni sawa 没关系,对吧 Naamini nitafika (Ata nikikosa sawa) 我想我是对的。 Ni sawa, ni sawa 没关系,对吧 Naamini mimi utanipa (Ah ridhiki we ndo unayegawa) Naamini mimi utanipa Sawa, ni sawa 好的,好的。 Naamini nitafika (Mwanadamu hawezi panga) 我相信我会来的。 Ni sawa, ni sawa 没关系,对吧 Naamini mimi utanipa (Sitozuguka kwa waganga) 我相信你会给我的(我不会伤害帮派)