Malaika

Ladies and gentlemen. ​This next song comes from Tanzania. ​It's a song in Swahili, a love song. ​It simply says 'malaika, nakupenda malaika'. ​Which simply means 'I love you, my angel'. ... Malaika, nakupenda malaika Malaika, nakupenda malaika Ningekuoa mali we Ningekuoa dada Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika ... Pesa zasumbua roho yangu Pesa zasumbua roho yangu Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika ... Kidege, hukuwaza kidege Kidege, hukuwaza kidege Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika ... Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika Nami nifanyeje, kijana mwenzio Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Nashindwa na mali sina we Ningekuoa Malaika Ningekuoa Malaika ​Ningekuoa Malaika