Kidungi

Lyrics: Mbogi Genje Music: Mbogi Genje [Intro: Smady Tings] Utageuzwa kichungi Kila zing amejidaisha kidungi Ground, nare, utageuzwa kichungi (Yo)
[Verse 1: Smady Tings] Hiyo riang' yenyu ya kusaka title (Title) Heri nikamedi, hata na ki-Ital (Ss-ss!) Siwezi mind uki-choose kuwa rival Juu Militan amekuja na ki-rifle Mandaki zao tunapiga mosheki Juu walikataanga kutukatia keki Mkidai, mkakuje na mavedi Tutakuwa zabe tukisetingi mahedi (Ss! Ss! Ss!) Mkipona manangos si tunadungaga mangive Jaza full clip, juu nimefika mayibe Tukisnadi, tunakang'a kila ngite Tuko shughuli, hatusare hadi manjiche Wali-ring, mtakula ma-viding Juu hamjui vile si husakanga vushying Si ndio wale wazing, Senke tuko jing Tuki-load magazine, utabaki tu kwa scene
[Verse 2: Guzman] Mi nadai nyi mangwete msonge huko kando Juu mi ndio mtambo na nacheza kama Rambo Nawakata kama mango, kuwarusha kwa mtaro Na ka una mambo, we mrazi kula vako (Mrazi kula vako) Mi namada kama Vandetta Na nitafanya mtaniteta Nyi ni mateka juu nishawateka Na ni kidungi ndio mi nachekesha (Ha-ha!) Gunman tunakang'a, kang'a Wale wote tunajua ni warazi
[Verse 3: Smady Tings] Kwa warosho, mafala wanaivisha We jichoche ndio buda, ukapita Ni kunare, utapiganishwa tisa Na ukichachisha, kuna vile utabakishwa Vibe Genje ndio riang' Ukisleki utapata mashashola zime-land Mr Man, mistari zikigwan Nazindua maga, kishashola naki-mash Tumebonda na ma-lugz Leta ufala, utabakishwa na ma-thugs Do di maths, tunasaka-saka shagz One way kama fisi, sina time ya ku-reverse (Smady Tings)
[Verse 4: Militan] Mazing ni kupiga tu baroda Piga riu tukukate hadi mocha Piga tapo, mrazi achachishe Piga chang-li, renga kwa mrota Babylon wanadai tu Portmore Wananauwo ngumi mbwegze ni ma-headbad Hatuwadungi na ukapi, ni mangiso Leta bloodclaat, tukupige kidi Tiang' bani, akibonga ni abugde Babylon wakimuok, tuko nayo Ng'ora mbogi ka uko na OB Jaribu mbogi ujue si dikwara Wakikwara tunasnadi kimangoto Mangoto tulipiga finamonto Backstreet ukirenga unabaki Riang' zetu, kuwadunga kwa mandaki
[Outro: Smady Tings] Hizi beat tunazisunda kwa ass Tunawakulisha dust na manyonyo wame-burst Round Two, tunakuja kuwa-brush Rhyme zao, kuna vile zime-rust (Alex Vice)