Music: Arnold Ndonga
Naangalia kioo, najionanga great
Big up macharjie wa me
Walisupport bro
Thank God sijafika late
Hata ka Kuna watu wanahate
Thank God sijafika late
Hata ka Kuna watu wanahate
Thank God for the blessings
Hata ka siombangi
Wananiona kwa mbulu
Siku hizi nafeel ka Ombachi
Mahn I don't even know
Mahn I don't even know
Nianze wapi nkiandika hii
Nashukuru Kila yut kwa streets
Kila fan Ali support Jo
Album ni moto ka lava
Na bado sistop kudrop
Mi nadai nigrab hizo Grammy
Hii ndo promise nlimake kwa momzy
Nimelearn a lot kwa game
Si Kila smile inatoka kwa heart
Na ka ni ngori unaeza nitrace
Pia mimi nadai hio smoke
Nimelearn a lot kwa game
Si Kila smile inatoka kwa heart
Na ka ni ngori unaeza nitrace
Pia mimi nadai hio smoke
Naangalia kioo, najionanga great
Big up macharjie wa me
Walisupport bro
Thank God sijafika late
Hata ka Kuna watu wanahate
Thank God sijafika late
Hata ka Kuna watu wanahate