MoroBuzz Season 3 Episode 3

Lyrics: Fredrick Albert Komba Music: Fredrick Albert Komba Verse 1 Wanataka kunijaribu Mood wanataka kuiharibu A’fu wanategemea majibu Sina time, niko zangu Malibu Mwaka huu yatakufa majitu As soon as nikimaliza manicure Where the money at? Give me cue Hii for every Mc Jimmy Crooks Nishajua kwamba huwa hampendi truth Sultan Tamba hamuwezi nishusha Nikisema mi ni mkali they be getting mad Hii ndio big eagle hamuezi ishusha Asante Baba round hii niko home yeah Karibu kwenye Mulla Kingdom Msilete show free siwezi perform Weka mipunga mikwanja mezani hapo we on yeah
Chorus Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi
Verse 2 Nachofanya each and every now Tofauti ndio sababu sifanani nao Kila siku nipo ninajinoa niwapige bao Nimechoshwa na kauli zao Unajibu swali na hujaulizwa Ukiulizwa Utajibu nini sasa? Wengi mnaujua ukweli ila mnashindwa Ndio maana ukiwa mkweli utaonekana unavimba Na since hakuna anayelipa kodi yangu Ni sawa tu mi naendeleza mizinga Asante Baba round hii niko home yeah Karibu kwenye Mulla Kingdom Msilete show free siwezi perform Weka mipunga mikwanja mezani hapo we on yeah
Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi Hamnitishi hamnibabaishi hamnitishi