Uyu mtoto risk Aki tabasamu akiongea kama anadeka So so risk na venye utamu amepewa ye anatwanga ana peta anagawa toka monday mpaka sunday kwa bodaboda na laoban Pigo za kimendemende kila pande anawateka watu imani majirani wanapiga simu wanasema eti umerogwarogwa kitaani wana kumwagia ndimu eya eya ukiwapa mboga majirani wanapiga simu wanasema eti umerogwarogwa kitaani wana kumwagia ndimu eya eya ukiwapa mboga
oh selina selina selina ye ye baby selina selina ye ye ye majirani wanapiga simu eti wanakumwagia ndimu Oh selina selina selina we we we
Mbona unajua kutupanga Mtaa mzima unagawa uroda Kwa kupenda ulevi na kudanga Unaopolewa kama mzoga Kutwa unabadilisha viwanja Mara mombasa kimara goba Unavyojipatia kujipamba Kumbe ni pakacha limedoda Eh Selina Ni mzuri na hajuagi kunyima Watu wanasema umechina Ila urembo kama umekatia bima Majirani wanapiga simu, Wanasema eti umerogwa rogwa, Kutwa wana kumwagia ndimu, Yeah Ukiwapa mboga
oh selina selina selina ye ye baby selina selina ye ye ye majirani wanapiga simu eti wanakumwagia ndimu Oh selina selina selina we we we