Music: Sr Mwai
Run run run
Kwa streets naroll na shank
Lost boy peter pan
Chunga usidedi ukikimbiza bands
Run run run
Juzi niliroga kwa gwan
Chunga usiumizwe na shank
Bars overflow utadhani ni dam
Hii ni old flow mixed na new flow
Bars kwa bank utadhani ni bureau
Tell man come na judo
Huku nifire na mimi ndo zuko
Jegi kulala ka breaststroke
Release kungoja kwa hamu ka kesho
Nikirap kwa beat ni tension
Doba madem wanafanya ni question
Mans shank fester skank
Mwere punk
Ka Cod nawaumiza ki ranked
Tuko sharp kiseti na blunt
Nare iko ready maG wamecome
Chuma ni deadly ki Tony stark
Stepma alilia akisema ako stuck
Lakini nikiroga sichoki
Lakini nikianza siondoki
Niko rada kuwatoa game sahi ni kunare nishawapa notice
Loud kwa block na ploti
Zangu ni nyama na zenu ni sossi
Bars ni cold nikiroga inabidi inabidi nimedunga koti
Run run run
Kwa streets naroll na shank
Lost boy peter pan
Chunga usidedi ukikimbiza bands
Run run run
Juzi niliroga kwa gwan
Chunga usiumizwe na shank
Bars overflow utadhani ni dam
Sr Mwai wape
Maji iko ready tukate
Bet ilimezwa na patel
Chai nawapa kujeni na mkate
Juzi juzi juzi yeah juzi
Juzi niliiba kwa neighbor
Mkate na maziwa tenga
Rappers nadishi kiDominos
Kutema natema kinoti flow
Mpoa wa your bro ni ngori joh
Mpoa wa your bro ni ngori joh
Kwa chamber madoba ka forty joh
Kwa bed mnyama ka pori joh
Kusaka samaki ka Dory joh
Kusaka samaki ka Dory joh