Ndugu habari jamaa ninawasalimia
Yangu ni nzuri hali Na furahi nataka kuwambia
Nilipo kwenda mbali, tamaa nilizishikilia
Nikapataga zali nikapata mali akaja na mwali
to give me love
aye ye ye yeah
Ile bandu bandu gogo
Mungu kalileta dodo
Toto la kigogo
hana shida ndogo ndogo uyoo
Kwenye mambo ya finance
Hesabu akipiga ina balance oh
Mrembo wangu nurse
Hasipo niona mgonjwa ukakasi oh
Oh mama wanipeleka msobe msobe
Mmh mwenzio oh mama
Oh mama wanipeleka msobe msobe
Mmh mwenzio oh mama
Mlete mlete mwali we, sisi tutampokea
Wajomba na mashangazi eh, wote wanasubiria
Tutalipa na mahari eh, binti tutampokea
Kwa ngoma na zumari eh harusi tutawachezea
Mlete mwali eh, ooh tuletee mwali eh
Hao wagogo ni warembo na wazuri sana watabia
Wakiimba ni nderemo sauti zao wanazipangilia
Ugali nyama yao nendo na mlenda wanaupatia
Hawapendi makubwa mambo wakitunzwa
wanatulia
Mlete mwali we eeh tuletee mwali we ah
Mlete mwali eh ooh tuletee mwali eh
Oh mama, wanipeleka msobe msobe
Mmh mwenzio oh mama
Oh mama, wanipeleka msobe msobe,
Mmh mwenzio oh mama
Nimeshamleta nishamleta,
Kama pete nitamvisha niwe nae,
Nataka watoto si tuzae
Kwa leo na kesho na baadae, ooh! oh mama
Oh mama, wanipeleka msobe msobe,
Mmh mwenzio oh mama
Oh mama, wanipeleka msobe msobe,
Mmh mwenzio oh mama