Baby

Lyrics: Eunice Phinah Music: Juma Ally Ramadhan Niliapa sitopenda mi, niwaambie eei, Nilijiweka pembezoni mwenyewe eii Zangu zimefika arobaini mujuee yeeah Apa ukinisearchi moyoni yupo yeyee
Anipa rahaa,tamu jinsi gani mi napagawaa Kwa wengine sidhani nawaona wabayaa Nikitaka kumsifu ntaalika bendi na kwayaa (Bendi na kwayaa)
Bebi yoo,bebii yoo ooh oh*4
Warohonii kwako sina choyoo Kaa moyonii kwako niko loyal mhh Sisikii wengine sihofii,kwa penzi lako niko free cause you make my heart complete
Anipa rahaa,tamu jinsi gani mi napagawaa Kwa wengine sidhani nawaona wabayaa Nikitaka kumsifu ntaalika bendi na kwayaa (Bendi na kwayaa)
Bebi yoo,bebii yoo ooh oh*