Lyrics: Eric Mbithi Muloki
Music: Eric Mbithi Muloki
INTRO
Yeah
Kambaboy Over Hear
Eeh yeah
Niko express way kitu past Mia Nikikaribia karau ndio nakanyagia gear
DJ Ashafika firimbi imelia
.....masaa imekaribia
Yeah yeah yeah yeah
(Verse 1)
Jaba shada mkomboti
Nímìlítwe ñga ñyala so navua koti Jegi bila bra na kamini kashorti Vile ananisugua leo ntatoa njoti
Niko safe nina rubber kwa mbosho
Kitu imebaki nisi postiwe kwa socials Brand yangu jua pia ni ya mother na shosho Ata sahii wananiwatch so sichomangi photo
Ka mnaskia joto, Mbithi ndio mmoto Picha za sex party zimeleak kwa social Watu me najua wako ndethe ka mtoto
That's none of my business me nahepa msoto Yeah
(Chorus)
Niko express way kitu past Mia Nikikaribia karau ndio nakanyagia gear DJ ashafika firimbi imelia
Si ni masaa ya Beer masaa imekaribia Oya
(Hook)
Masaa ya Beer,masaa ya beer Masaa ya masaa imekaribia oya Masaa ya Beer masaa beer Masaa ya Beer masaa imekaribia Masaa imekaribia masaa ya Beer Masaa ya beer Masaa imekaribia
(Verse 2) Eh,ah
Njeri ame Mwaura Kamande
Vile ame blackout si ata amka Monday Nshalipwa kamshande na mpanthre
Yù nienda Kìlìtu ta Mwende,aoke anipande nimkande
Smocha niko Chipo na Chapo
Kuna vurugu ya maboy wa sivo na dago
Niko Baesa cheki ule dingo wa Dago anachuna mkia, macho tatu kwa purse ya mrembo hapo kando.
After party tupate Bando,
Kwa AirBnB si unajioneanga mambo
Pesa tu kidogo unafwatwa na warembo Kuna masiku fuliza nilikua tu na ten bob,
I'm thankful.
(Chorus)
Niko express way kitu past Mia Nikikaribia karau ndio nakanyagia gear DJ Ashafika firimbi imelia
Si ni masaa ya Beer masaa imekaribia Oya
(Hook)
Masaa ya Beer,masaa ya beer Masaa ya masaa imekaribia oya2 Masaa ya Beer masaa beer Masaa ya Beer masaa imekaribia Masaa imekaribia masaa ya Beer Masaa ya beer Masaa imekaribia
(Verse 3)
Ya tatu Naroga ka Veteran,Ki Obachi Machoka anachezanga dombolo safi Zile zinachochanga wale wababa walafi Cheza loko wacha zile mangoma za Wasafi,
Meza nachafua mbona niwache ikiwa safi Waiter anakaa tifi uniform kwa toughee Lately I'm loving vile me I'm rapping Hamnishow shit,kwani mmeificha wapi,
Back to normal programming no fomo,I'm jamming
Up town utanipata na watoto walami
Bado me napenda melanin,black ka lami DM ni mapeng,macougar sugar mummies
(Chorus)
Niko express way kitu past Mia
Nikikaribia karau ndio nakanyagia gear DJ Ashafika firimbi imelia
Si ni masaa ya Beer masaa imekaribia
(Hook) Oya
Masaa ya Beer,masaa ya beer Masaa ya masaa imekaribia oya Masaa ya Beer masaa beer
Masaa ya Beer masaa imekaribia Masaa imekaribia masaa ya Beer Masaa ya beer Masaa imekaribia