Emma's Wisdom

Lyrics: Emma Mbeke Nzioka Music: Emma Mbeke Nzioka Hizi ndio siku za furaha sasa ziko hapa, Mvua imeisha, nayo jua sasa ishaawaka, Hizi ndio siku za furaha sasa ziko hapa, Hakuna place ya chuki beshte kwa hii world ya sasa
We know that when we are bound together we are magic
Yaani hatujiamini Shida alafu sasa ni, kushikana na ndugu yako ni shida kama hauna chakula na hauwezi jitegemea
Mara watu wanapigania space ndani ya ile shimo mkoloni alituchimbia akijaribu kutuzika
Kila mtu na mzigo wake Lazima tushikane, tusaidiane…
Sisi kwa wenyewe, hakuna njia ingine