Lwanda Magere (Remix)

Katika vitu me hupenda me hupenda kuwa solo Nikicheki vile rada iko ni kama nimevuta koro Daily napiga hustle niweze kumsaidia mkoro Even my family wasije teseke today and tomorrow Me u-pray everyday soko ya mziki niweze kuiteka Dats why daily nahakikisha mziki mzuri naandika Haters gonna hate coz this is my time now I want to give you hits until all of you say wow Roundii mtabonyeza reminder ndo muweze kuona nachofanya Ndo msishikwe na mshangao kwa kile ambacho naenda kufanya My G Jack Harlow, was popping I hope one day you gonna feature me no joking Today's world joh manze money over everything And you know what I mean when I say everything People do judge that's why prepared myself for this Basi naziba sikio zote mbili nisiskie hizo diss Napenda familia yangu sana ndo maana huwa natia bidii Kisha huwa sipendi kusota nahakikisha mfuko zote ziko fiti Nadai ngoma na OG hiyo ndo langu ombi Respect to Papa Jones men this niggah inspires me Mziki bila ombi dongi ng'eyo okinyal donji Napiga magoti mbele zako oh God help me Make sure you work hard so that you can never tell your kids that I used to be your classmate I found a girl who showers me with love everyday every night before I go to bed Nimejifunza vitu mbili in my whole ****in' life Never loose hope never give up in life I always dream a big house, a big car Kamwambieni nyie uko me natamani kufika Hata nyama mbichi pia ntakula juu ya Ile life nimepitia Tena sijali chochote hiyo life sitamani kurudia 4PF that's all I want Na wale mambleina sijasahau ntawa-burn Zile madrama ziko hii Kenya hata sitamani kuhama Msee anakuzoea day one na hata hamjajuana Education is the key yeah that's all we know But life you need to fight and I think you should know Pile ka pile bwana ang'o marach kodi? Everyday you keep asking me here pesa ya Kodi