Umeniwezea

Lyrics: IDRISA SAID ABDALAH/Francis Patrick/David Joseph Makoye Music: IDRISA SAID ABDALAH/Francis Patrick/David Joseph Makoye Yatawika majogoo Jua litapita angani Mpaka litazama Habari kwa umma dunia Mi nimezamaa Penzi lake sukari tamu Tamu sana Sijabanana Mi niko radhi kufa Kuliko kukukosa
Habari ya mjini mimi na wewe We ni wangu forever Mi ni wako forever Habari ya mjini mimi na wewe Weni wangu forever Mi ni wako forever
Habari kwa umma dunia Mi nimezama Penzi lake sukari tamu Tamu sana Sijabanana, niko salama Huyu kaniwezea Huyu kaniwezeaaa..
Eey lala lala lala lalalaaaa Lala lala laaa Lala lala laaa Eeeyh Aagh
You are so perfect you don know Waja wameweka mgomo They don know, mifumo Nishakupenda wewe inatoshaaa Et hatufiki mbali ntakuaachaa Nipo kwako kuyaficha makucha Haya wameumbuka Mwaka tunauvuka Aiyaa mkakojoe mkalalee
Habari ya mjini mimi na wewe Weni wangu forever Mi ni wako forever Habari ya mjini mimi na wewe Weni wangu forever Mi ni wako forever
Habari kwa umma dunia Mi nimezama Penzi lake sukari tamu Tamu sana Sijabanana, niko salama Huyu kaniwezea Huyu kaniwezeaaa..