Lamoto

Lyrics: William Dereck Mfinanga Music: William Dereck Mfinanga Verse 1 Asante ije kwako wewee Umenivua shidaa,ukanipa heshima
Na nlikua sipeend kukuona wewe Ukijivika upweke, chozi lisikudondoe Ehe ehee
Na jimood kwako najimwambafy Na sina bud penz letu ng’ar ng’ar
Na nshaeka kumbi sit zote ziko fine nimekupenda wewee
Na kama mapenz kwako umenipa Napona mie navile sijiwezi Kwako nishachalala nakoma mie ehee
Corrus Jaman penz langu (lamoto) Huba langu (lamoto) Mpenzi wangu (wamoto) Wajua kunifurahisha wewee
Penzi laaangu (lamoto) Huba woowooo (lamoto) Mpeenzi wangu (wamoto) Nakukundaa chaanee wewe
Verse 2 Na usiruhusu,usiku ukawa wa manane ukanikaataa
Ntapta uchungu mimi mwana wa Mwenzio ntalalamaa Eheee nshukuru kwa mapenzi umenipata Niliposhika nawe darl ukashika ohohoo
Naji mood kwako najimwambafai na sina bud penzi letu ng’ar ng’ar
Na nshaeka kumbi sit zote ziko fine nimekupenda wewe
Na kama mapenz bas umenipa daw nakoma mie na vile sijiwez kwako nishachalalala nakoma mie
Ehee
Corrus Jaman penz lang (lamoto) Huba langu (lamoto) Mpnz wang (wamoto) Wajua kunifurahisha wewe
Penz langu (wamoto) Huba wouwooo (wamoto) Mpeenz waangu(wangu)