Mbudya Vibez

Bado sijafika mbudya ila nishalewa Saa kumi na moja kwenye boat tumechelewa Pisi ndo tumekutana nazo zimetuelewa Upepo wa bahari tunaenjoy hali ya hewa Tukifika tu wote tunapiga shots Nishavaa lifejacket leo lazima nitafloat Drinks check food check kila kitu tumesort Mashada ya kutosha tunapaa bila passport
2 piece swimsuit kajifunga na kikoi Less talk more action hili picha haliboi Niko na wanangu wa kitaa im wit ma homeboi's Circle full o' players huku huwezi kuta loverboy No kateperry hizo stimu za kizungu Kwa macho yake tu anaonekana ni mtundu Ni kimodel fulan ila pia ana kishundu Siezi kula dem wa mwana n'sije pata gundu Im jus jokin kama analiwa ataliwa Kama amelowa amna shida atakamuliwa Niko site live wewe utabaki kuadisiwa Mengine huezi sikia zitabaki siri za kisiwa Nimemix sana vitu niko too lit Mhh mhh Hii kitu OG kitu legit Mhh mhh Life so good life so sweet Mhh mhh Naflow kama drizzy kwenye hii beat Wakidiss Waambie tu kabisa I don't give shit Prrr prrr prrr prrr prrr prrr prrr prrr prrr prr prr prrr prrr prrr Okay! Nawanyea mahaters wangu cause they ain't shit
Bado sijafika mbudya ila nishalewa Saa kumi na moja kwenye boat tumechelewa Pisi ndo tumekutana nazo zimetuelewa Upepo wa Bahari tunaenjoy hali ya hewa Tu-ki-fika tu wote tunapiga shots Nishavaa lifejacket leo lazima nitafloat Drinks check food check kila kitu tumesort Mashada ya kutosha tunapaa bila passport