Lyrics: Goodluck Gozbert/Timothy Boikwa Music: Goodluck Gozbert/Timothy Boikwa Liongoze Hatua Zangu Neno Lipate Mulika Na MIguu Ukiruhusu nayo majaribu Nisome na NIPATE na Majibu Nimekuamini wewe hushindwi duniani Nimekuamini Unatawala Mbinguni
Nikilijua Neno,Maisha Amani x 2
OOH Nami Nifunikwe na Neno,Niishi Neno Litimie Neno,Nitembee na Neno,Niwe Na NENO Neno,Neno Ooh Mmmh
Dunia Hii Dunia Hii,Ya UONGO Hii,Dunia hii dunia hii Utapeli hii Nikifurikwa kwa Neno kuna Uzima,Nikiongozwa na Neno kuna Kufika Eeeh Kwako Salama Kwingine Ni vita Ooh Ni vita Njia Zako Salama Yesu Oooh Salama,Kwingine Ni vita Ooh Ni Vita Ila Upendo wako wanitosha,Nguvu zako ni Hakika Neno Hausemi Uongo wewe u hai Tena haubadiliki Eeeh
Nikilijua Neno,Maisha Amani
Ooh Nami Nifunikwe na Neno,Niishi Neno Litimie Neno,Nitembee na Neno,Niwe Na NENO Neno,Neno Ooh Mmmh