Gonga Chiazi

Lyrics: Cleva Junior Music: Cleva Junior Lyrics:
Yaah ...! This is Cleva Junior Powered by chocolate swagz men Na huu ni Muda wa kupari na wana Aaaha
(Chorus) Tuna go go go Tuna gonga chiazi Tuna go go go Tuna gonga chiazi Tuna gonga chiazi Tukidansi dansi Tuna gonga chiazi Tukidansi dansi
(Verse-01) Siku za kazi tunasaka madili piga madili Kumake mahera Wikendi tunatuliza akili tunafikili Kuponda raaa
Tunaripuka pamba kali ng'ari ng'ari Mifukoni Mambo shwari Tunazama ndani ya club kali kunywa pombe kali Kuboost akili Ukiwekwa mziki Tuna paripari Wanangu wa kaliua msicheze mbali Nuksi balaa tupeni mbali Wakati ndio huu njooni tupari
Kwa madada wakali ona viuno feni Msijari jiachieni zungusha Wanaume kama kawa mapanga shaa Rukeni dundeni vunjeni
(Hata kizombi zombi we vunja tu Aah aah Kijoka joka we vunja tu Kisingeri singeri we vunja tu Au kijoti joti we shitua tu)×2
Hakuna atakae kugasi Just be free Aaah Ni wewe tu
(Chorus) Tuna go go go Tuna gonga chiazi Tuna go go go Tuna gonga chiazi Tuna gonga chiazi Tukidansi dansi Tuna gonga chiazi Tukidansi dansi
(Verse-02) Aisee Bob Junior Kavurugwa Yani sio kwa pini hili mazee
Utake usitake utaruka tu Mzee baba mzuka utapanda tu Hata kama mmasai mori itapanda tu We were
Eehe Shika kinywaji kwa furaa Aah aah Gonga chiazi na wenzio Aah aah Ni full kuponda raaa Aah aah Just piga mvinyo Aah aah
Iwe bia au konyagi ni wewe tu Kilevi au maji ni wewe tu
Jeuri ni mfuko wako Pa pa pambana na hali yako
Kwa madada wakali ona viuno feni Msijari jiachieni zungusha Wanaume kama kawa mapanga shaa Rukeni dundeni vunjeni
(Hata kizombi zombi we vunja tu Aah aah Kijoka joka we vunja tu Kisingeri singeri we vunja tu Au kijoti joti we shitua tu)×2
(Hakuna atakae kugasi Just be free Aaah Ni weww tu)×2
(Chorus) Tuna go go go Tuna gonga chiazi Tuna go go go Tuna gonga chiazi Tuna gonga chiazi Tukidansi dansi Tuna gonga chiazi Tukidansi dansi