Music: Michael Kitikai
Shika keys, leta bike
Shiko fit, ooh shiko fine
Bend yo knees, toa adi tight
Ni doba ingine fisa
From yo boy kitticai
Ile ni chance ya kuruka kwa floor
Tingiza kichwa tingiza shingo
Nizalipuka maze zina bomb
Na ukitaka morio let me knowwww
Yeye
Hii ni beat na inaweza tu sana
Zina bomb
Inaflow kwa wazee na vijana
Bomb
The way you whine gal unani murda
Bomb
Zina bomb zina bomb zina bomb
Kunja sura zikishika ndom
Ma babylon, jifiche kwa chuom
Nakulov nakulombotov
Na nikishika doo, tutafika carnival
Cheza na beat, baby you turn me on,
Zungusha kiunoo, weka finyoo
Show dem you got that, big bum shiroo
Nasasa twende chini kwenye floor
Yeye
Hii ni beat na inaweza tu sana
Zina bomb
Inaflow kwa wazee na vijana
Bomb
The way you whine gal unani murda
Bomb
Zina bong zina bong zina bomb
Kula cake kama zime bake
Figure 8, coca-cola shapesunda jeans, vaa adi beltnatukijiamini tutadrive adi benz
Niko ma chingli nina doh
I'll follow where you go
Wewe tu ni show
Nina mbogi tuta chrome
So don't be in a hurry
By all mean necessary
Call kina gasheri,
Na berrly, merry
Hii ni beat na inaweza tu sana
Zina bomb
Inaflow kwa wazee na vijana
Bomb
The way you whine gal unani murda
Bomb
Zina bong zina bong zina bong