Music: Dany T3lo
Karibu karibia into my city
Huku majina hatunanga show me risiti
Sure sura mbaya roho safi mikono ndo frisky
Mbele hawaoni kuko misty donga nani kumbe ni me it's me
Smile bulanda tumejaa ngori except jah jah hakuna msee mholly
Lazima ninge touch that ningetaja ningetamka jah jah
Mi nadeal na rappers na sai kila dealer ananisho ni rapper
Na hii show itachorwa adi kwa tishoalipiga ya kwanza nai show
Never shy mbele ya ganji namna gani bado naekelea kazi
Si hubishiana
Si hubishana
But never will you hear ati si Hu beachiana
I'll marry mariwana ye hajai niacha tangu nikiwa minor
Respect your elders mokoro akiona nimenyanya auniliza niekee maina
I got this fire in my chest when it's burning I can't REST
Can't be normal like the REST all this acting na manamblei
Najua wanitakii najua Turkey ndo yualeta kwa dany
Mi ni nani ndawagasi nshawagasi nshawagasi!
Ju ya wakati naona mkasi naona mrazi
Naona manzi nishamcut off Makasi
Ni nasty makamasi before masti makaa mostly
Mi huwa very mi huwa very mi huwaka daily makaveli
Nimejaza logs though most ni za pussy
Sa narap a lot najaza catalog
Nateka mwalalomi huchukia maloan
Naeza baki alone ka Hu ndranya anaload
Ukweli ni kwela hunibamba kwa dera
Si ati I'm an addict lakini ndasema
Seti io vela ka bado ujahema ka bado una hela
Na unadai kujenga
Jojii anajenga si usoshi ina hela
We nichokoze na hujaona my ndeng'a
Io LINE we lenga I'm aware niko mwea
Sitai jitetea sa mwere unalose
Uliamua kuloosen tie ju ya liquor booze
Uliapa ni live and die niliona nichoose
If you don't walk the talk you can't own the mob
You're turning into a foe you could have been more
Ah bro broo broooo