Lyrics: FREDRICK KOMBA ALBERT/Nafsi Huru/Kaa La Moto/Marleen Xplastaz Music: FREDRICK KOMBA ALBERT/Nafsi Huru/Kaa La Moto/Marleen Xplastaz Mulla
Tuko na mbanga za kufanya na hatuongei LowKey wanaota hatuotei Mji kasoro na kaa la moto from the bay
Mi ni color moto, colors mingi Kalamu moto, Protege Wino Mwingi part of me Product hii ni zaidi ya Prada G Analogy ya life yangu kwenu ni knowledge Tingisha kichwa kimya ka una nare G
Chunga sana, kujikweza sio mpango chunga drama Ka umeshindwa Chunga mdomo chunga ndama
Wakija loud kama jua, sunda pama Si ushajua, kuwa kivuli bring the chill Aste aste nyonga wheel yeah
Hakuna haja ya necessary noise Sina kiki ila mtaani mi bado a necessary voice Sauti ya watu mi ni nafsi huru
Kaa la moto Affiliated to all the rappers out there Street code na iko bond bata hamuwezi compare Complains tumemaliza mihujiza Jesus wa Nazareth Na love na new pips sema wengi wao wako average Ntakufa na Hip Hop kama Vivi na Complex Sio fake love to DMX ooh Na level kama Eagle japo less ego Ndo inaua Hip Hop mazee kuwa humble sio illegal Many years in the game right me a legend peace Nimekua fame kabla ya Tusker Project Kabla credit card nimepata street credit born star Ila na keep it low key naishi ki underground I don’t see the need of clout longolongo ni gani Naheshimiwa Kenya na kibongo bongo hatari Kwakua nilianza kujiheshimu ili nianze kuheshimika Na sio attention seeker hata promo wakinipa Les Wanyika Heri kufunzwa na Mama ikufunze ulimwengu si lazima yawe mabaya
Marleen Cut it off stay low Passing love when you live and love Keep it lock and stay strong and everyday is gonna be alright
Nafsi Huru Ukipewa usiwahi kupaga dumisha heshima tukae sawa Huku ukijigamba na kujitia wise Mshamba hata ukatamba utaonekana mpuuzi Don’t ever lose maisha ni movie Leo uko juu kesho uko chini Chini ya jua kipi ni kipi wanajua jua hawajui Cheza chini iwe kwa mkeka ama ni makochini Mjanja hakosi janjaule vile pwagu hakosi pwaguzi Mfunzo hubidi maujuzi maufundi ikibidi juhudi Jitahidi kaidi hafaidi hadi Siku ya Idd ushindi wa leo nilianza jana Pambana hamna lelemama simama hamna kuzama Nguruma kukaa na dhuruma Mshumaa washa mshumaa vile chuma ukoaga chuma ama vupa