Wakalale

Lyrics: Goodluck Gozbert/Timothy Boikwa Music: Goodluck Gozbert/Timothy Boikwa Wacha Wakalale Wakishasema Wakalale,Wacha Wakalale alafu Mungu Atawale Dunia,Dunia haina huruma,Machozi unalia unapoteza Bure Hebu tazama wanaokusema Hawana kazi Unajitesa Bure Ukitazama Maendeleo Yaao Umewazidi Mbali unajisumbua bure Wewe subiri Subiri Jua Lizame Vinywa Vichoke,Usihangaike Nao Chorus Wacha Wakalale Wakishasema Wakalale,Wacha Wakalale alafu Mungu Atawale Verse 2 Safina,Safina Ilipokamilika Waliiona na bado hawakuamini Wewe ni nani Uwaaminishe haraka Funga Kufuli Usishughulike nao Ila Ukisikia Nuhu Tufungulie Ujue Sasa Amekwisha tenda Wacha Wakalale wakishasema Wakalale Alafu Mungu Atawale Mamlaka Uliyonayo ni makubwa kupita Yao,Sasa machozi ya Nini Komesha Komesha Wale wanaokorofisha Kazini kwako aisee,Tuwape wiki Au mwezi Wataondoka Bwana Usiwachezee waliokombolewa wana mihuri mihuri ya Mbingu Wacha Tarantira Kusingizia Uongo Mungu Akishuka Tusilaumiane Wacha Wakalale Wakishasema Wakalale,Wacha Wakalale alafu Mungu Atawale
Sema Mama Sema Maliza Kabisa SEMA,Sema mama sema Nitakaa kimyaa Sema Baba Sema Chafua kabisa sema,Chafua sema Sema Nitakaa Kimya Aaaah Eeeh Eeeeh Eeeh Eeeeh Wacha Wakalale Wakishasema Wakalale,Wacha Wakalale alafu Mungu Atawale