Sema Nami

Sometimes tunakosa hapiness katika maisha sababu twaitafuta mbali
Twaendea njia mia yaani twakosa kutulia Haitoshi twakosa kuji swali
There inside of you wariwo idoboze It's reminding you harmony comes from yourself kuwa na amani nawewe mwenyewe furaa sini bure sasa kwanini uteseke
Sema nami tafadhali wee cheza nami tafadhali wee cheka nami tafadhali wee kula nami tafadhali
Sema nami tafadhali wee cheza nami tafadhali wee cheka nami tafadhali wee kunywa nami tafadhali
Umna nana nana Umna nana nana Umna nanana umna Umna nana nana Umna nana nana Umna nanana nana nanana uh uh
Sometimes tunangoja Tukuje kuaga dunia Ndio sasa tu enjoy kua hai Twabishana na akili zetu Mioyo yetu yatu gombanisha Ni wakati kuirudisha amani There inside of you wariwo idoboze It's reminding you harmony comes from yourself kuwa na amani nawewe mwenyewe furaa sini bure sasa kwanini uteseke
Sema nami tafadhali wee cheza nami tafadhali wee cheka nami tafadhali wee kula nami tafadhali
Sema nami tafadhali wee cheza nami tafadhali wee cheka nami tafadhali wee kunywa nami tafadhali
Sometimes tunakosa hapiness katika maisha sababu twaitafuta mbali Twabishana na akili zetu Mioyo yetu yatu gombanisha Ni wakati kuirudisha amani Umna umna Huh heh Uh uhu uh
Umna nana nana Umna nana nana Umna nanana umna Umna nana nana Umna nana nana Umna nanana nana nanana uh uh