Lyrics: Ismail Juma Mandoti/Thabiti Janati Mango/Nadia Mukami
Music: Ismail Juma Mandoti/Thabiti Janati Mango/Nadia Mukami
VERSE 1: NADIA MUKAMI
Yake nyama bila mfupa mie nameza
Akinipa sita sita mie ntaweza
Akipandisha na mori nalegeza
Haya mapenzi Kayumba umekoleza
Chuchumaa unibonde unipe moyo
Uniteke mimi Toto la Nairobi kaja na Makonde waone choyo Insta
tuwakomeshe Na yetu kiki
Hata akifumania powa tu(powa tu)
Hata nikule fare Powa tu (powa tu)
Mi nang'ang'ania Powa tu (powa tu)
Ndo nishajifia Powa tu (Powa tu)
Chuma kwa chuma namwaga cheche(powa tu
Mwenzenu napewa weka tu weke (powa tu
Nikimuona napata kidete (Powa tu) uooo uooo uoooo (Powa tu)
CHORUS
Natamani nikatongoze mara ya pili apo vipi (Bomba Bomba hio
Anitilie limbwata akologe akili apo vipi (Bomba Bomba hio)
Apo vip (Bomba Bomba hio) Ipo vip (Bomba Bomba hio) ebwana vip (Bomba Bomba hio) IPO vip (Bomba Bomba hio
VERSE 2
sherii Baby mama sheriioo anipa kazi moto Mwinyi kazioo
Ndani joto sitaki feni ooooh Aninogesha na vyake vilio
Mapenzi hayana nunda Uchebe kaowa Igunga (uchebe kauowa Igunga)
Penzi pepo la kimbunga likichanganywa na Ndumba.,,,,
Hata nikimfumania powa tu(powa tu)
Waseme nina mu-under fear Powa tu (powa tu)
Mi nang'ang'ania Powa tu (powa tu)
Ndo nishajifia Powa tu (Powa tu)
Chuma kwa chuma namwaga cheche(powa tu
Mwenzenu napewa weka tu weke (powa tu
Nikimuona napata kithethe (Powa tu) uooo uooo uoooo (Powa tu)
CHORUS
natamani nikatongoze mara ya pili apo vipi (Bomba Bomba hio
Anitilie libwata akologe akili apo vipi (Bomba Bomba hio)
Apo vip (Bomba Bomba hio) Ipo vip (Bomba Bomba hio) ebwana vip (Bomba Bomba hio) ipo vipi (Bomba Bomba hio )