Music: Umoja Sounds Lyrics: Fredrick Mulla Intro Mmmh! Yeah yeah yeah yeah yeah yeah yeah anhaa! Bounce aahuh! Yeah yeah yeah! Yeah Yoh!
Verse 1 Okay! Wanasema niko mbele zaidi ya game Money talks na siongei wanaongea wao tu Pesa sabuni nabuni sanaa faida iwe yetu Maana sabuni zao wanaogea wao tu Wakijifanya hawana muda na hii Mi niko zangu mbele ya muda Nai Siku wakipata hata muda na hii Watakua nyuma ya time (Time time time) Yeah! Wanangu toka day ones nawajua Mnaokomenti IG kabla page haijakua Mpaka leo mko nami tukipiga hizi hatua Nawapenda ka mlikua hamjajua Nami sisubiri (Hivyo am catching waves) Yeah, nawapa mavibe mavibe (I'm going all the way to the top) To the top!
Chorus Mwasemaje? Eeeeeh! Jamaa jamaa Mwasemaje? Eeeeeh! Jamaa jamaa Mwasemaje? Eeeeeh! Jamaa jamaa Mwasemaje? Eeeeeh! Yeah
Verse 2 Yo! Bless you let God bless us Baraka tele mi naleta Mungu ni mwema (kila wakati!) Na kila wakati (Mungu ni mwema!) Utofauti umekua nadra Ndo’ maana kila kitu kile nadrop kinakua noma Kila nikiendeleya mchezo nauchezeya The true player Put your hands in the air (Heeehh!) Wanangu toka day ones nawajua Mnaokomenti IG kabla ya page haijakua Mpaka leo mko nami tukipiga hizi hatua Nawapenda ka mlikua hamjajua Nami sisubiri (Hivyo I'm catching waves) Nawapa mavibe mavibe (I'm going all the way to the top)
Chorus Mwasemaje? Eeeeeh! Jamaa jamaa Mwasemaje? Eeeeeh! Jamaa jamaa Mwasemaje? Eeeeeh! Jamaa jamaa Mwasemaje? Eeeeeh! Yeah
Coda You are listening to the amazing sounds All the way from Morogoro, Master Manondo with Umoja Sounds Bringing it straight to your neighborhood Play this at loud volume probably in a residential area aah aah! Keep it going keep it going We keep it going keep it
Chorus Mwasemaje? Eeeeeh! Jamaa jamaa Mwasemaje? Eeeeeh! Jamaa jamaa Mwasemaje? Eeeeeh! Jamaa jamaa Mwasemaje? Eeeeeh! Yeah