Tricky!

(KAGETE ON THE BEAT) BenaiA BrayO Nare (Sauti) (S-s-s-s-symptom) KAGETE ULE MMOJA!
Ganja famire Nyi ni mahagare Mi sivuti bangi lakini naeza shout ka Ambuside Nilimpea bonoko-de Alingoja mpaka che Kupokea hiyo jirungure Anadai nimkufie Mi sijali ,nkikupata kona mbaya ni hatari Tenje yako imebeat, enda utupe hio batari Ndai yako inashine lakini cheki matayari Mimi tu ninajijenga, jua huko tayari, (What!) Alinikataa sasa hivi anataka nimpeleke kwa Java Lakini pole buda boss, nare yangu imetua Ukicheki stats zangu mi naball kama Salah(Tricky) Naam, mashallah Mi si criminal Mi ni yule msee huleta verse zile critical Zile zinamake blood flow to the pinnacle Yaani unastaajabika kama mi ni miracle Mi huvaa maglasses ju najua mi ni spectacle Google history ni incognito, undetectable Mi nasaka yule dem mmoja so delectable Yule mwenye hips ka za Missus Incredible Shida tu ni kwake mi ni invisible
Tricky, (uh), tricky tricky, (uh) Tricky, (uh), tricky tricky, (uh) Tricky, (uh), tricky tricky, (uh) Tricky, (uh),tricky, tricky, (uh)
Tricky, tricky Kila time ukinicheki mi nawapa keki Na macookie nikonayo kushinda tricky Na siringi ju shilingi na sumuni nikonazo Nakuona, nakusisya, na ucheze chini Kila mbogi ina noma, na mangoma tunatoa Na stuff nimesunda, so Washa na nare Ama basi usare Ama udungie sare Ama dungia Sally Tricky tricky Cheki vile huyo dem amebanana Kila time tukimeet ye hudai banana I wish kuna time tungefanana Twende club, tucheki wasee wakibanana Juzi ulikuwa unacrawl Cheki sai vile umegrow Hizo candles umeblow Nakupenda usidoubt Ukidance tukiout Na masponyo wakidai 'kuku' inn Washow that nimekuwin Cheki msupa namba yako, tricky tricky ching ching Cheki msupa namba yako, tricky tricky ching ching
Cheki msupa namba yako, tricky tricky ching ching Mi na ice tunajuana nikivaa bling bling Na usiku usinicall kwenye hotline bling We na hizo viatu zako toka ching chong ching Raindrop, nimenotice ukivaa hiyo crop top Nonstop, tic toc, ukidrop top Na Mandela akifanya hizo ad libs Tukimake mavida za mamadlips Angel akitrap kama MisfiT Tim Tim tip top kama biscuit
Tricky, tricky tricky Trick, tricky tricky Tricky, tricky tricky Tricky, tricky, tricky
BenaiA Brayo (Oh man goddamn)