Baishoo

Lyrics: Yonah K. Abdallah/Ismail Juma Mandoti/Thabiti Janati Mango Music: Yonah K. Abdallah/Ismail Juma Mandoti/Thabiti Janati Mango VERSE 1 Ahhh momo nipeleke unavyotaka ukichoka Bara tuamie Mombasa Chachu yangu Embe Ng'ong'o namkungu usipo tosheka Ongeza uchoyo mwana ino wakikufata wambie Akiombeki Nichote kaunyayo nifunge pande zote saba ((kwangu sawa kwangu Sawa)) Usinipe dawa napona kwa yako mahabaaa (Yote sawa kwangu Sawa)) Baishoo ohh I Love you baby On baby to the sun And now show me
CHORUS Baishoo I love you baby Ayayah Ohh baby Ayayah Ahhh baby Ayayah ooooh Baishoo x2
VERSE 2 Mama mganga wako fundi Amenipata (aaai tititititiii ) Amenipaataa Amanda ah Aiweka Hio Kama kambolea shambani penzi inogezee ikolezee mwenzako mie Hoi Nichote kaunyayo nifunge pande zote saba ((kwangu sawa kwangu Sawa)) Usinipe dawa napona kwa yako mahabaaa (Yote sawa kwangu Sawa)) Baishoo ohh I Love you baby On baby to the sun And now show me
CHORUS Baishoo I love you baby Ayayah Ohh baby Ayayah Ahhh baby Ayayah ooooh Baishoo x2