Music: Elisha Elai/Marleen Rutta Lyrics: Elisha Elai/Marleen Rutta (Marleen)
CHORUS
Njoo uchill nami, Wangu Sweet Manka Come and swing my way, I miss you Manka
Njoo uchill nami, Wangu Sweet Manka Come and swing my way, I miss you Manka
(Elisha) Verse 1
Yeah Kitandani silali ka sijakuseen, Bila magari yaani bado ulikwama still, Mapenzi unayonipa mi peke yake ndio naifeel, katoto Sinyorita roho yangu kitambo ashaisteal, Majirani wanadai we uliniwekea dumba, Huwanga siwajali, wana vitimbi ka Kanumba, Magizani we peke yake ndio me nakumba, Saa zile wamelala si tukiskizia Rhumba, So nataka nikupeleke kwa mother matime, Ukagotee kina dada na mandugu wa nyumba ya mine, Chochote unachotaka ntakupa ndio we ufurahi, Kukuwacha baby mama mimi kwako itakua crime
(Marleen) CHORUS
Njoo uchill nami, Wangu Sweet Manka Come and swing my way, I miss you Manka
Njoo uchill nami, Wangu Sweet Manka Come and swing my way, I miss you Manka
(Elisha) Verse 2
Yeah Kama walisema β€˜love is blind’ nimegeuka kipofu, Usije ukaniumiza ukaniwacha nikiwa na kovu , Alitenda miujiza Maulana kunipa we tu, Ni mimi na wewe forever yaani mpaka tuende juu. Ulifanya gangster aka turn to man, Ju ulinikubali ata before nikuwe na none, Kwa hii safari ni mimi na wewe ju nina plan, Nataka unizalie watoto madaughters na sons, Kaschana nikasupa kana mwili fiti, Na tena ana utamaduni ka nyatiti, Masela wanasema nili blanda mimi Lakini tangu nikupate nimepanda ligi
(Marleen) CHORUS x2
Njoo uchill nami, Wangu Sweet Manka Come and swing my way, I miss you Manka
Njoo uchill nami, Wangu Sweet Manka Come and swing my way, I miss you Manka