Selekta

Lyrics: Wanjiku Kimani/KAKA EMPIRE Music: Wanjiku Kimani/KAKA EMPIRE Paparazzi anapiga picha tunaichoma na captions IG Pamba ni clean tunazingatia hygiene Makali ya Pepe soup ukipiga na dry gin Ndio definition ya wanjiku uki search Queen pigeni durag na mangepa nikidunga crown Manager hashiki simu ka hujalipa Full amount Clown anasepa anajua I don’t full around fika place niko kwa hii race si utakula round Kula foul nilinyanganya refa firimbi Hii ndo long term benefit ya Uji wa wimbi Manzi makmende Na Wisdom ya naya bingi Ndio usimame ka mimi Lazima uchimbe misingi Vile na go deep ndio vile nago hard Hii ndio budalangi season kwa market ndio me na flood Kuzidi me nazidi na ujanja bila speedi Me Napinzana na Ganji sio mabwana na maBibi