Romeo & Juliet

Sifa nakumwagia We mtoto Umeumbwa ukaumbika we mrembo Kizuri kipi kisichokufaa We mtoto Sura cheko kama malaika we mrembo (eeeh)
Ohh vile ukinizungushia kwa juu Napagawa hoi nahemea juu juu Kimoko unyonge nagonga two two Oohh yeah Na hii nyimbo baby naimba for you Ushanichanganya i wanna marry you Kila sehemu till i die with you Ouuh me na we nii
Romeo & Juliet Romeo & Juliet Romeo & Juliet Oouuh me na we niii Romeo & Juliet Romeo & Juliet Romeo & Juliet
Mtoto mashallah kajaliwa Mwendo wa kunyata ananyatia Body lake kinanda Pressure yashuka yapanda Mtoto mashallah kajaliwa Mwendo wa kunyata ananyatia Body lake kinanda Pressure yashuka yapanda ouuuhhh
Ukiwa mbali Amani nakosa furaha Nahisi uko chocho wananiibia Wananiibiaa Tukiwa chumbani kachiri viuno zaga Napenda utamu ukichanganyia