Mapoz (feat. Mr. Blue & Jay Melody)

Lyrics: Khery Sameer/Nasibu Abdul Juma/Sharif Said Juma Music: Khery Sameer/Nasibu Abdul Juma/Salmin Kasimu Maengo/Sharif Said Juma Mmh Mmh Ooh No No No Jay Once Again Penzi Zito Kilo Mia Hamsini Vile Napata Rah Utaniambia Nini kuna Muda Kama Siamini Na Kuna Muda Ni Kaa Napendwa Na Jini Maana Penzi Lako Ndege Mtini Niko Matawi Ya Juu Nisha Tulia Mimi For Your Love Let Me Sing Sing Nisha Kolea Hatari Mapenzini Chorus Tamu Pipi Ya Kijiti (Anhaa) Ukiilamba Unacheka Na Kibaridi Hikii Niozesheni Hata Ndo Ya Mkeka Penzi Halishikiki (Anhaa) Linavyo Tetemesha Si Tufunge Muziki Nikuonyeshe Jinsi Ninavyo Cheza Mi Na Mapoz Na Mimi Mapoz Na Mi Mi Na Mapoz Na Mimi Mapoz Na Mi Mi Na Mapoz Na Mimi Mapoz Na Mi Mi Na Mapoz Na Mimi Mapoz Na Mi x2 Mmmh Na Sio ndumba Wala Raha Tuu Zimeniziidi Sio Mambo Mitala Penzi Mwenyewe Nafaidi Nakumbatwa Kwa Baridi Usinione Nnang’ara Natunzwa Habibi Matikiti Kudondokaa Matikiti Kudondokea Marafiki Huwa Ni Nyoka Hivyo Chunga Wanayoongea Nikande Kande Nikichooka Sio Narudi Unanifokea Ona Mweni Nilikotokaa Mambo Fyongo Hayajaninyookea Tamu Pipi Ya Kijiti (Anhaa) Ukiilamba Unacheka Na Kibaridi Hikii Niozesheni Hata Ndo Ya Mkeka Penzi Halishikiki (Anhaa) Linavyo Tetemesha Jamani Si Tufunge Muziki Nikuonyeshe Jinsi Ninavyo Cheza Mi Na Mapoz Na Mimi Mapoz Na Mi Mi Na Mapoz Na Mimi Mapoz Na Mi Mi Na Mapoz Na Mimi Mapoz Na Mi Mi Na Mapoz Na Mimi Mapoz Na Mi x2