Lyrics: Brandon Alphajiri Music: Brandon Alphajiri Hello baby (Yeah)Do you remember nlipokuona first time Nlikua sijielewi eeeiiii everytime nakufikiria na die Ah hapo nyuma unapo itawanya wanafaham we ndio dawa Nimezama kwa mapenzi umenichanganyaa nahisi na mabawa I hate when i miss you aaah Ill call you when i miss you aaah Nakuahidi ill never leave your world ill call you when i miss you aah Nahisi kiu yaani thirst my baby kwa penzi lako first class my baby You will always come first my baby penzi lako first class my baby Aaa aaaaah aaaah baby nakuihataji nakuihitaji nikuwateko my baby babe nakuhitaji nakuihitaji nakuitaji daily *2