We got the Diversity We got the Culture The land of Kigs and Queens, Africa Mama We got love and Unity, Hakuna matata Let us dance to the Rhythm Feel the vibe Nasema basi Dansi, Dansi, Dansi Mama Hii ni ngoma ya Africa Katika tika ti mama Cheza ngoma ya Africa Nasema tena Dansi, Dansi, Dansi Mama Hii ni ngoma ya Africa Katika tika ti mama Cheza ngoma ya Africa I am from Africa, (OOOOOH) And this is Africa,(EEEEEH) I am from Africa, (OOOOOH) And this is Africa,(EEEEEH) Najivunia kuzaliwa Africa Sikuja kupita, Mizizi nakita Sikuzamia si Tano na Sita Nimekamilika Napenda Afrika Nasema basi Dansi, Dansi, Dansi Mama Hii ni ngoma ya Africa Katika tika ti mama Cheza ngoma ya Africa Nasema tena Dansi, Dansi, Dansi Mama Hii ni ngoma ya Africa Katika tika ti mama Cheza ngoma ya Africa I am from African, (OOOOOH) And this is Africa,(EEEEEH) I am from African, (OOOOOH) And this is Africa,(EEEEEH) Nasema basi Dansi, Dansi, Dansi Mama Hii ni ngoma ya Africa Katika tika ti mama Cheza ngoma ya Africa Nasema tena Dansi, Dansi, Dansi Mama Hii ni ngoma ya Africa Katika tika ti mama Cheza ngoma ya Africa