Music: A Skillz Yeah H.Q T
Mi Namuamini yeye Mi Namuamini Yeye Mi Namuamini yeye, Mi namuamini yeye Aliona mbali kunificha kwenye pendo lake Aliona mbali kunishika kwa mkono wake
Mi Namuamini yeye Mi Namuamini Yeye Mi Namuamini yeye, Mi namuamini yeye
We ni mwamba hadi mwisho wa dunia We ndo Baba toka mwanzo ulinijua Nilitembea peke yangu na hapakuwa na njia Ukanishika mkono unanionyesha njia Basi jifunzeni kwa ndege wa angani Hawapendi hawalimi lakini wanalishwa na, Mungu wa mbinguni. Au maua ya kondeni hayafanyi kazi lakini Yanavikwa vizuri Mfalme Sulemani alikuwa tajiri lakini Hakuvikwa kama maua ya kondeni Itakuwa kwako aliyekuleta duniani Aaah A. Skills in a house
Mi Namuamini, yeye Mi Namuamini, Yeye Mi Namuamini, yeye, Mi namuamini, yeye Aliona mbali kunificha kuficha kwenye pendo lake Aliona mbali kunishika kwa mkono wake Mi Namuamini,yeye Mi Namuamini, Yeye Mi Namuamini, yeye, Mi namuamini, yeye
Receive Sema nami nijue, mbali umenitoa Mwisho wakulia nileo, mwisho wa masimango ni leo Atakupatia kicheko, nakutabiria maisha mapya na ushindi Unainuliwa unabarikiwa, gari mpya unajua Wanao kudharau wananyenyekea ehee Tunapendelewa ehe Tunashangilia ehe Ehe ehe ehee