Lyrics: Ally Mashaka & Jumaa Mashaka Music: Ally Mashaka & Jumaa Mashaka Dady yuko Sweden, mimi naenda Holand Dady yuko Sweden, mimi naenda Holand
Me natamani hata asingeniangalia mmmh Imeniathiri mpaka nimezama mazima am in love Kumbe yeye tanali alishika, me mwenzake nkazama mazima Si akanizamisha mutima, nimezama mazima mazima
Na rangi yake ya chocolate, najichekesha ye hacheki Inanifanya nakonda, moyoni mwangu nna donda Uzuri wake hauelezeki, nami ndo nilichompendea One in a million madollar, one in a miiiiii yeiyeeh
Dalali, dalalia nidalalie Na akikataa, ng’ang’ania mng’ang’anie nampenda mieeh
Iiiih iiiih, nana na nana nah nah Iiiih iiiih, nana na nana nah nah Iiiih iiiih, nana na nana nah nah Iiiih iiiih, nana na nana nah nah
Mmmh mmh, mmmh yeiiih yeah
Maboo maboo, umenikuta ndo tarehe hiziii Ananipa tabu ninakutuma ukamwambie hivii
Sinenepi kula sili nimejaa stress nateseka na haya mapenzi iiih Haelezeki, nimejaribu haelezeki fanya mambo yawe mepesi iiih