Still here

Lyrics: Lil Ma Music: Lil Ma Arranger: Lil Ma Walidhani nimelost?  Calibrate that compass  Bado Niko area   Sting ya malaria  (Mwiki) Utanipata huko interior  Hawapendi nikisema I’m a boss  When I get it done wanajua wako lost  Shenanigans! Hamna kitu ya kupost? Vaticans ! Me ntawabless bila cost  Nikipata hiyo doo mnataka hiyo mboo  Haina mambo but hizo story hunimboo  See what I saw with the dos n the dont’s what I did what I know with the seeds that I saw  Watu siwajui wanalia ni ma bro  Cons hawajui wanadeal na mapro  Saa hii Wanadai wanapenda nikiflow! Ama ju ni doo inaingia nikidoz? Siri si Siri Ju beste ya beste ni friend of a friend  Wiki ya pili imepita! Na Bado unalewa na deni ya rent  Sipendangi madeni na kama unapewa unapewa mangumi ka kumi na dent  Meeting attending naendanga tu willingly ni ile tu moja za family events  Saa hii nina dame ,anadai Nina game, Akidai kitu phone , me nampatia iPhone  Nikifinya icon … wasee wataride on you !akuna ati kitu kama bygones Juu sa zingine siezi think coz I’m high on  Beam! Jim! Wacha God ashine on us! Plus! Hawaezi sema kitu on our tuff! Wakidai watajua tukiseti rough  Tunawashow vitu na hamskizi kwanini  Amini usiamini hao ndio wana baridi  From naks toka mwiki hadi uko lindi  Tunadeal na mastress, tunadeal na ma weaklings  Walidhani nimelost? Calibrate that compass  Bado Niko area   Sting ya malaria  (Mwiki) Utanipata huko interior  Hawapendi nikisema I’m a boss  When I get it done wanajua wako lost  Shenanigans! Hamna kitu ya kupost? Vaticans ! Me ntawabless bila cost  Nikipata hiyo doo mnataka hiyo mboo  Haina mambo but hizo story hunimboo  See what I saw with the dos n the dont’s what I did what I know with the seeds that I saw  Watu siwajui wanalia ni ma bro  Cons hawajui wanadeal na mapro  Saa hii Wanadai wanapenda nikiflow! Ama ju ni doo inaingia nikidoz?