Chapoo nne Na Ndengu (CNN)

Lyrics: Mluo Music: Mluo/Mluo Kenya (.......) ( Eh Manzee naskia njaaa-mluo laughs) Akianani naskia njaa njaa njaa njaa njaa njaa njaa Akianani naskia njaa njaa njaa njaa njaa njaa njaa
Chapo NNE na NDENGU omera what's up Chapo NNE na NDENGU walai naskia njaa
Njaa njaa njaa njaa miraa miraa omera what's up
Maisha ya comrade food ya Leo manzee ulikula Jana Pesa zako Buda sasa ulisha tumia sana Huezi dedi kula supper na utatotesheka bana Kevo hapendangi chakula ana penda tu wasichana
Chapo dengu joh pakuwa Ni wewe Ndio jua Fanyia hio food vile ulifanyia mama fua Lawama joh badae basi ikuwe vile itakuwa (Lawama joh badae basi ikuwe vile itakuwa)
Anakula for the cause Anakula then adoz Anakula Ngoja pause
Tumbo Jo hazfanani Huyu manzi aki anani She's finishing up my money Siezi ishi na amani
Akianani naskia njaa njaa njaa njaa njaa njaa njaa Akianani naskia njaa njaa njaa njaa njaa njaa njaa
Chapo NNE na NDENGU omera what's up Chapo NNE na NDENGU walai naskia njaa
Njaa njaa njaa njaa miraa miraa omera what's up
Irio shia dhufu aaah ma shiena shama Twebusy tukirie na akina Dama Manoria guii na irio shia maguta
(SPEECH)
DENGU ikuwe na waru Tuki skizanga tu saru Yani saru wa ma nyaru Na vijana barubaru
Akianani naskia njaa njaa njaa njaa njaa njaa njaa Akianani naskia njaa njaa njaa njaa njaa njaa njaa
Chapo NNE na NDENGU omera what's up Chapo NNE na NDENGU walai naskia njaa
Njaa njaa njaa njaa miraa miraa omera what's up.