Fikra Za Bahati

Lyrics: Kelvin Bahati Music: Kelvin Bahati Mbaya mbaya mbaya Hii ni mbaya Mi nimbaya Teddy B Mi ni Bahati Mamako akinipenda niite baba wa kambo Wasanii kwa uwanja na deal nao kirambo Uliza sauti sol founder wa kufungua lebo Wakati wanasign nisha dismiss kitambo Mziki sio kiki makali kama panga Mwisho wa maneno ringtone nakuvisha kanga Pole octopizzo walikuendea suba wanga Mzunga ulipata ukashindwa kujipanga Sina urafiki wa mtoto peremende Leo mtajua siri ya kifo cha mende Mr Omollo kwa gym matembe Daddy owen ulichotewa mbeiby Okla ntulele Okla ntulele Kwenye beat umeokoka unahubiri Na ulifanya mimba iwe siri Mbona yangu ilikua hivo nikaitwa kafiri Na bado mnauliza mbona siko kwa injili Siogopi mkisema nimeshaskia tayari Maneno yaniwezi yananifanya ng’ang’ari Na tena hewala kwa kila hali na shwari Muda upo salama ndio wa hatari Mi ni stima naogopwa kama kifo Wakiskia Bahati akili zinaingia default Mi na vibe mi ndio bob Marley Bal ya ronaldo wakojoe walale Mi ndio bumps mtaslow down Mi si wakukam mi ni born town Yeeeh Ni Fikra za Bahati Kwenye Love Like This You know fam thank you for the support But I had to give you my thoughts Before the big Album Love like this Album Listen to this Stream Wait for this best best Album β€œLove Like This”