Nakupenda

Lyrics: Yasin wastara Music: Yasin wastara Look in my eyes I mean what I say Can not Denny Wanna take you there
Yes, and I’ve been trying Night and day U got me high Far, far away
Oh mama cita Aah Sijeniumiza miza Mi namwagika Na we ndo wakuntuliza Liza Sijawahi ona mzuri kama we Naona miugiza How umenishikiza (kiza)
Nakupenda ooh Nakupenda Nakupenda ooh Nakupenda
Weka, chomeka Tembea ka unateleza Leta, sogeza Kiuno nati legeza
Weka, chomeka Tembea ka unateleza Leta, sogeza Kiuno nati legeza
mama cita Aah sijeniumiza miza Mi namwagika Na we ndo wakuntuliza Liza Sijawahi ona mzuri kama we Naona miugiza How umenishikiza (kiza)
Nakupenda ooh Nakupenda Nakupenda ooh Nakupenda
Weka, chomeka Tembea ka unateleza Leta, sogeza Kiuno nati legeza
Weka, chomeka Tembea ka unateleza Leta, sogeza Kiuno nati legeza