Music: Ambrose Akula Akwabi/Kevin Omondi Okech Lyrics: Fredrick Mulla Sali kwenu nitatimba kuleta barua Pambe wote watajua Ambia mabeshte zako waandae vijora Shangwe linakaribia
Sali kwenu nitatimba kuleta barua Pambe wote watajua Ambia mapeng wenzako waandae vijora Shangwe linakaribia
Kwa maana midadi unanipa We Salima nakulombotove Mchele ushamwagika We Salima nakulombotove
Salima Salima, pisi kali Salima Naja na mbogi kwenye mchuma nisepe na wewe Salima
Wanakuchora sana Salima eti wanakuita tukinao Wanatusorora sijali hata kidogo hizo ni chuki zao Wanasema unanidanga acha unidange ni mimi si wao Wanatusorora sana sijali hata kidogo ni chuki zao
Kwa maana midadi unanipa We Salima nakulombotove Mchele ushamwagika We Salima nakulombotove
Salima Salima, pisi kali Salima Naja na mbogi kwenye mchuma nisepe na wewe Salima