Lyrics: Baraka Shujaa/Malik Said Changawa
Music: Pablo Fernandez
Mmh mmh m’Baba m’Baba
Mmh mmh m’Baba m’Baba
Mmh mmh m’Baba m’Baba
Mmh mmh m’Baba m’Baba
Mmh mmh m’Baba m’Baba
Mmh mmh m’Baba m’Baba
Njoo unipe ma lovy nami nikupe ma lovy
Njoo unipende nikupende wale wenye wivu wakajinyonge mama

Mmmmh ona baby nina noma
Njoo unipe dozi baby naona nitapona
Eeeihh baby huna noma
Twende kiwandani baby gettoh letu Roma
Eeih mimi sina ngori yo
Tupigane kwenye jiko hadi corridor
Moto utapokea hakuna story more
Mikoko hatari mpaka useme no
Ooh we ni crazy dadaa
Unanipagawisha tukizima hio taa
Kusema ukweli baby we umenikamata/
Juu nikiwa nawe najikuta star
Hakuna tofauti ya wewe na mi
Umenifanya skuizi mi niitwe Daddy
Soon watoto wetu watakuita Mommy
Kweli umeniteka girl I’m your army
tena sihisi ni maajabu
kukupata wee naona kaa ni thawabu
nibusu mdomoni mpaka shavu
nataka kubandua ki pimp kavu kavu
tena sihisi ni maajabu
kukupata wee naona kaa ni thawabu
nibusu mdomoni mpaka shavu
nataka kubandua ki pimp kavu kavu
Hatha kala safari ya Bamba
Ni machero machero
Hatha kala safari ya Bamba ni machero machero
Ni radhi nikugwire mukono.
Ni vine na uwe usibaki hakeyo
Ni radhi nikugwire mukono nivine na uwe usibaki hakeyo