Nakupenda

Music: Sharif Saidi Juma Nakupenda - Jay Melody JINIX66 Iwe giza baridi na upepo Iwe kuna mawingu na minyesho Your body baby joto joto Unafanya nijihisi special Unanipa sababu ya uwepo Kando yako we mtoto My desire we nipe dawa mi mahutui Sijielewi ooh my God Shida ni nimekolea penzini Shida ni baby uko moyoni wewe Nakupenda we Nakutaka we Kwako sijiwezi Ooh my love Mpenzi we Roho yangu we Kwako sijiwezi Ooh my love Akili mwili baby Hasira zangu navituliza Ukiongea nasikiliza Yote sababu ya upendo Pili pili baby Vindimu chumvi ya kunynyiza Yani uroda kupitiliza Nimeumaliza mwendo Kiukweli napendwa nachanganywa Na haya ma raha Shida ni nimekolea penzini Shida ni baby uko moyoni wewe Nakupenda we anhaaa Nakutaka we oh nana nana Kwako sijiwezi Ooh my love ooh my baby Mpenzi we oh nonono Roho yangu we aaaah yayaya Kwako sijiwezi Ooh my love Oh nana