Mi Lover

Ukiwa mbali baridi NI Kali Kitanda kikubwa usingizi sipati SA lini unakuja tulegeze nut Maana naweuka nikikiona cha Kati Oolooo
Ouuhh Unanifanya unanifanya nini MI love Nije kwa juu AMA nianzie kwa chini Uroda Utanimurder utanikill me MI lover
MI lover Kwako me lofa MI lover Unanikoroga
Thats why I say Yo my my my Yo my yo my Yo my lover
Sasa mbona waniacha naugulia Sasa mbona wanifanya nateseka AU kisa unajua umeniwezaaa AU kisa unajua nmeipenda Ololoooo