Utachizi overthinking nini mbona life ni shitty Utableki overdrinking kijichocha life ni fiti Utadedi uko ndani asha mali feel uhigh Utadedi uko ndani izi mali zikidie Utachizi overthinking nini mbona life ni shitty Utableki overdrinking kijichocha life ni fiti Utadedi uko ndani asha mali feel uhigh Utadedi uko ndani izi mali zikidie
Life huwa tamu ka si game za kucheza kina Brenda utachizi buda boss usitry Ati true to the game unataka kucheza role gani ju GOAT kwa hii story ni moja Ma niggaz hufake kwa ya circle kuchocha sherehe but none atafika kwa noma We sota ndo ujue riba gani hao mabro who met you hupiganga about you Bro utachizi Ndo maana nakeep social distance socialising balaa Mi ganji ndo aim Ndo maana utapata nachill na kina Tevo stu Nataka tu peace of mind settle down nina kapeng kanaitwa amani Friendship ya gees wako real wanachapa grind ukipata wakutoke ni noma So mbona niketi nichizi nikistress about watu hawajali anything about me Mbona nijichoche na life siwezi manage kubamba mabeshte wenye hata hawacare Kwa mi ndo nishinde nimemake effort ndo hii relationship yetu isurvive Mi ndo wakupigiwa simu ukipatwa na noma but time uko fiti haunijui Heh-heh Huskii life iko order nikipata machingri kwa hoteli naorder Order Bado sina ka ndai but form ikijipa niko nyuma ya boda Boda Ati nichizi kwa nini ju mali imededi sini sare mali Dot hukuwanga tu trapper so we bonga ... sijali
Utachizi overthinking nini mbona life ni shitty Utableki overdrinking kijichocha life ni fiti Utadedi uko ndani asha mali feel uhigh Utadedi uko ndani izi mali zikidie Utachizi overthinking nini mbona life ni shitty Utableki overdrinking kijichocha life ni fiti Utadedi uko ndani asha mali feel uhigh Utadedi uko ndani izi mali zikidie
Ati utableki hiyo ndo quote and quote kumedi wacha tuseme tu ukweli Ukweli Free advice sitaki madeni hata kama ni gin Ama kama ni henny Hata kama ni riz Hata kama ni fegi Utoe mathao utoe mapenny North or South K is constant It's a generous offer no but thank you very important Summer, Spring, Winter or Autumn Steady vibe I keep my focus Focus Isipokuwa tu leo Mali imeletwa na Kevo Halafu ikawashwa na Denno Halafu tena ikazimwa na Tevo Coz Don't smoke in here usijifanye huskii Don't block your ears usianze kutrip Sasa unataka kulia basi enda hapo nje ndo unaeza skizia Ah Nafeel the vibe inhale inhale kusip and dine Kurise kufloat adi cloud ya nine But chunga ukifall usibreak your spine Mvumulivu hula mbivu Mvutaji hupunguza maumivu ****! nakumbuka nikipoteza simu na pia vile nafallianga walimu Trust me Huh Hiyo si random if you don't get it forget about it Tuko ploti moja na landlord So ukimedi medi na mbali So what am i trying to say Nothing's free there's always a price to pay You'll pay the fee ata kama unaona haufiki bei but si ni life Kama unaona uko sawa me niko sawa si wote tuko sawa Lakini