Kuzina Nawe

Lyrics: Feffe Busi/Wanjiku Kimani/KAKA EMPIRE Music: Feffe Busi/Wanjiku Kimani/KAKA EMPIRE I like a chali that loves to party Chali anafanyanga nageuka naughty Chali anapendanga kurusha noti Pale kwa benki ni madoller kama mita 40 Wapi muhudumu mwambie aongezee glass Pedi wangu asha nishi kisha na mashash Hakuna keki lakini bado bonge la bash Pamba moja safi nimepulizia marash Aaaah ksh ksh ksh Na niku moto sana maji baridi itaweza Wamekunja sura walimeza bila chaser Rada safi si mpaka Wamechafua Meza Usiwai Bishana na mutu ako na pesa Kwetu 17b leo niko kampala Me na ...tunakulanga hepi mbaya Tukifika klabu hawa mamanzi wanagwaya Liquidi ni moto tunakunywa konki faya Chorus Gimme di bounce Ongeza Tempo Hii ni ya machali wa nairobi na warembo Hii ni ya machali wa kampala na warembo Inua mikono na chupa mbili za tembo Kuzina Kuzina Nawe