Lyrics: Guardian Angel/Timothy Boikwa Music: Guardian Angel/Timothy Boikwa Nitainuka juu nanitaibariki familia yangu, ukinitazama leo hii, ni vumbi tu Nitainuka juu nanitabariki marafiki zangu, nangojeaga tu, baraka za juu
Wale wanasubiri tufe (tafuta viti mkae) Tunasubiria azinyeshee (baraka za bwana) x2
Wachana nao wanicheke(wanicheke), wachana nao waniseme(waniseme) Vile wanapenda wanikemee, wengine wao wanionee Lakini mi najua ya kwamba, Bwana anazungumza mema juu yangu mie Nangojea tu, baraka za juu
Ebu karibia, pigwa picha na mimi, uoneshe marafiki zako, wa amini unanijua Nikiinuliwa juu, itakuwa ngumu kwako kunitambua, nikipokea tu, bakara za juu
Nitainuka juu nanitaibariki familia yangu, ukinitazama leo hii, ni vumbi tu Nitainuka juu nanitabariki marafiki zangu, nangojeaga tu, baraka za juu
Wale wanasubiri tufe (tafuta viti mkae) Tunasubiria azinyeshee (baraka za bwana) x2
Ijapokuwa nimekosa maneno(nimekosa maneno) kujitetea tena, moyoni mwangu nasubiri(nasubiri) Ijapokuwa wamenizidi mwendo, na kunionyesha dharau, watu wa jumba lile, na gari lile, na pesa zile (aah) Na mimi nitabarikiwa one day, nasema one day, hizi shida nitasahau, najua one day, kufutwa machozi one day, ooh one day, nangojeaga tu, baraka za juu
Nitainuka juu nanitaibariki familia yangu, ukinitazama leo hii, ni vumbi tu Nitainuka juu nanitabariki marafiki zangu, nangojeaga tu, baraka za juu
Wale wanasubiri tufe (tafuta viti mkae) Tunasubiria azinyeshee (baraka za bwana) x2
Bambam heh….bambambam….heh….