Bongo Bongo

Lyrics: Ivan Stephano Mahinyila Music: Salim Ali Eti wanasema uzee mwisho chalinze … …
(it’s 17Dikwela baby)
Watoto wa bongo bongo bongo Watoto wa bongo bongo bongooo Watoto wa bongo bongo bongo (aah, yeah) Watoto wa bongo bongo bongooo Bongooo Dar es salaaaamaa
Juzi juzi si nilipata katoto nikataka nikapelekee moto Kikapiga chenga za huku na huku Mara gafla kikaleta changa moto
Mara ooh baby, umeme umeisha Oooh baby, minataka sheesha Oooh baby, pesa ya kope na kucha Oooh baby, nataka kusuka
Nikakauliza kwani mi ni baba ako Nikiomba show mbona unasema no Au ndo vile unaniona kama koolo Ukinipa mmh nitakupa na doo
Watoto wa bongo bongo bongo (bongo bongo, yeah) Watoto wa bongo bongo bongooo (yeah, ahh) Watoto wa bongo bongo bongo (aah, yeaaaah) Watoto wa bongo bongo bongooo Bongooo Dar es salaaaamaa
Ukiwa mshamba watakuchuna mpaka basi Ukiomba namba kesho wanataka laki Sio mbagala, sio tandale, sio masaki Wote ni wale wale, yeah
Jifanya unanjaa wanakukazia Ukileta ununda wanakuchunia Na wote sio wabaya niwazuri pia Bunda la ukweli sio mloganzila aah
Watoto wa bongo bongo bongo (bongo bongo, yeah) Watoto wa bongo bongo bongooo (yeah, ahh) Watoto wa bongo bongo bongo (aah, yeaaaah) Watoto wa bongo bongo bongooo Bongooo Dar es salaaaamaa
wakiona pesa Wanazuga kama wanakupenda (ah) Sikiisha pesa kwa mabwana zao wanakenda (ah)
Watoto wa bongo bongo bongo (bongo bongo, yeah) Watoto wa bongo bongo bongooo (yeah, ahh) Watoto wa bongo bongo bongo (aah, yeaaaah) Watoto wa bongo bongo bongooo Bongooo Dar es salaaaamaa