Ata mseme Niko down me huwasafisha ka duster
Kama unaona na songa faster basi si uongeze shutter
Bless brathe mkiwa kwa vaite mshkie jaba na aongezewe starter
sir jah tuongeze baraka
Unataka aje love na umepatiana talaka
Unashinda ukiscroll scroll kuongeza dopamine na hupati answer
Mnaombea mvua juu ni nyinyi tu mko na mashamba
Instead ya kula vitu sisi tunapanda
Tunaimport na vile man kumegadhaa
Unaonea watu huruma me naona tu biashara
Ju ni opportunity naingia ndani
Nakusanya for my family
Si wajali me
Wee Lia hakuna kazi Mimi Niko na salary
Mtoi Wangu asome Cambridge wewe endea bursary
Hivyo ndo kuko
Watu tunalook up to wanatuletea vituko
Pass msokoto inapatie me msisimko
Alafu anipate sansei adhani atanipa mshtuko
Alimwai bare
Kesho tunaona mwizi alishandwa kwa news za tuko
Na watu behind all this wanasema wameachieve fusion
Naona wameachieve confusion
Na alot of pollution contradictions
Jesus ndo the only solution
Hii si rap tu ni a holy intuition.
Knowledge napata from elohim ni mob than hizo Miaka zote nimewaste kwa institutions
Tulipate aje Independence na nchi yetu dependant a foolish thing tunacelebrate on december
Si jamhuri Kenya ni jina on paper na ikwekwa signature na muhuri ya queen siogopi kusema
Tungeruliwa na Dedan
Maybe vitu zingekuwa better
But wale watu wazuri tu ndo waugenya
Ata Nikose chance nina penya
Atakaa ntasaka pesa ndo aziadd nasenya
ashake hiyo aaah me lazma ni work ndo askie chenye nasema
Kazi na kazi
Ata kama umejipin ndenga
Jah fill me with what I need nisikuwe beggar
What I want ntaziwacha kwa earth na mbona nazipenda
Ata Nikose chance me ntapenya
Atakaa ntasaka pesa ndo aziadd nasenya
ashake hiyo aaah me lazma ni work ndo askie chenye nasema
Kazi na kazi
Ata kama umejipin ndenga
What I want ntaziwacha kwa earth na mbona nazipenda
Uko brainwashed na unasema uko na facts
Unasay more silence hufanya mtu akuwe sharp
Hiyo knife itabidii umesunda unaipull aje out na Niko na strap
Unapreach prosperity na easy life
Life ni tafash hiyo ni cap
Watu wanarule hii country for formality
Instead walete development wanacause mischief
Leader anachoosiwa na God mbona ni vote for nani atarule hii nchi
Try as much usome kwa wingi
Ndo ukuwe as much far more kuitwa illetrate
Watu wanarun hii town ni a syndicate
Alafu unategemea state
Tembea na God
Walk in the light si by might
Zion ni this way
Unawekwa chini utaangushwa hakuna time ya kufreeze
It's s a cold world we living in
Na pray for longevity
Siskii what the government is telling me
In no way are you helping me
Knowledge si cheap kama huafford Harvard somea Udemy
At this point ya crises tunaopt kuwa high na ulevi
Ni escape reality
Tena inabidii uifanye on the daily
Ukipray things zikuwe better
Mwingine anamake virus zingine deadly
Ata Nikose chance nina penya
Atakaa ntasaka pesa ndo aziadd nasenya
ashake hiyo aaah me lazma ni work ndo askie chenye nasema
Kazi na kazi
Ata kama umejipin ndenga
Jah fill me with what I need nisikuwe beggar
What I want ntaziwacha kwa earth na mbona nazipenda
Mbona Mimi nazipenda
Vitu ntawacha kwa earth mbona Mimi nazipenda