Music: Umoja Sounds Lyrics: Marleen Xplastaz Intro Marleena! Umoja Sounds
Verse1 Salaam nakusalimia, Tena si kwa ubaya Chunga usije mi nikaripia, Mwenzako vishaumana Salaam nakusalimia, Tena si kwa ubaya, Chunga usije mi nikaripia Mwenzako vishaumana aaah
Pre - Chorus Baby ni we unanisatisfy, Ushaninyonga mi kama tai Kwako mi sifai hiiiihhh
Chorus Usinilize mtoto, Mwenzako sina hiyana Usije nipa kisogo, Basi niweke bayana Aaaaahhhh aaaawwwhhh aayeah Bayanaa yanaaaa yeh
1, 2, 3, baby let me know what’s up
Verse 2 Yo ma honey bunny, Njoo nikupeleke nyumbani, You’re ma sweetest taboo ooooh oooh oooh Umeniweka roho juu uuuh uuuuh uuuh
Pre - Chorus Baby ni we unanisatisfy, Ushaninyonga mi kama tai, Kwako mi sifaii hiiiiiiiihhhhh
Chorus Usinilize mtoto, Mwenzako sina hiyana, Usijenipa kisogo, Basi niweke bayanaa Bayanaa bayanaaa
1, 2, 3, baby let me know what’s up
Bridge Baby niokote, nishike Nishike mahaga, Nisokote Ah nipe mautamu, Nivute Nipe mahaba, nipe yote Baby niokote, nishike Nishike mahaga nisokote Ah nipe mautamu, nivute, Nipe mahaba, nipe yote
Marleena!
Chorus Usinilize mtoto, Mwenzako sina hiyana, Usijenipa kisogo, Basi niweke bayanaa Aaaaaaah aaawwww naah yeh Bayanaa bayanaa
Outro You’re ma baby boo You’re ma baby boo