Anipenda

Lyrics: Goodluck Gozbert/Timothy Boikwa Music: Goodluck Gozbert/Timothy Boikwa Niko salama na Yeye,Salama (Bunch Ki Bunch) Aurututu naona Baraka (Anipenda) Tutu naona Baraka (Anipenda) x 2 Nimeona Grace,NImeona Grace Favour Watu wana Hate,Watu wana Hate (What) AAAH Ile Stori Nilikupa Juzi Nililemewa, Niliuza Shamba Yote Wapi Mali Sasa Nimebaki nahesabu Dari But Nimeona Grace, Nimeona Grace Favour x2 Aurututu naona Baraka (Anipenda) Tutu naona Baraka (Anipenda) x 2 Hata napendwa,Napendwa,Napendwa Utukufu Ni Wake,Ong’aa,Kazini Kila Muda Kyara Niko salama na Yeye Salama x 2 Aurututu naona Baraka (Anipenda) Tutu naona Baraka (Anipenda) x 2 (Bunch Ki Bunch) Nimeona Grace, Anipenda