Ni Zake

Music: Salfa Music Mmmh
Asubuhi imefikakumekucha Naona basi zishapita lakini ngoja Hi keki lazma ntaonja Tangu nikutazame Zako picha nzichorage Kuta nzionage,vitabu pia Wakasema nimeangukia Ni kweli sijawai jutia Penzi linavutiaa
Kila angle ntaweza Kwako ndio nawekeza Ulichotaka nimeagiza Kila angle ntaweza Kwako ndio nawekezaulichotaka Nimeagiza
Zangu ni zake Na ikizima tuwashe Usiogope watuwache Sa zingine mengi ni machache Noo we Zangu ni zake,na ikizima tuwashe Usiogope watuwache Sa zingine mengi ni machache Noo
Wo wo wo wo woo